Msimamizi mkuu wa shughuli za maabara ya kiwanda akitoa ujumbe wake kwa wanawake
|
Picha ya mwisho ya pamoja baada ya kuangalia hatua mbalimbali za utengenezaji wa karatasi
kiwandani
Mkuu wa Mkoa akipata maelezo ya upimaji wa uimara wa karatasi kutoka kwa Mtaalam wa Maabara ya Kiwanda Beatrice Kigoda
|
|
Mkuu wa Mkoa akijadiliana na Mtaalam wa Maabara Beatrice kuhusu utendani wa Kiwanda
|
|
Mkuu wa Mkoa na timu yake wakishuka ngazi kutoka sehemu ya juu ya mtambo wa kukata magogo ya miti katika vipande vidogo .
|
Mtaalam wa Maabara Beatrice Kigoda akimtembeza Mkuu wa Mkoa wa Songwe Chiku Gallawa na timu yake kwenye maeneo mbalimbali ya Kiwanda
Mkuu wa Mkoa na timu yake ya wataalam wakielekea maeneo mbali mbali ya Kiwanda.
Mkuu wa Mkoa akioneshwa aina mbalimbali za karatasi zinazotengenezwa na Kiwanda
|
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Chiku Gallawa akipata maelezo ya Kiwanda kutoka kwa Mtaalam wa Maabara Beatrice Kigoda
|
No comments:
Post a Comment