Mkuu wa Mkoa wa Songwe Chiku Gallawa apokea mabati kutoka kampuni ya Machimbo ya Dhahabu ya Shanta
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Chiku Gallawa akipokea mchango wa mabati 2,400 kutoka kwa Meneja wa Mgodi wa machimbo ya dhahabu Scott Yelland yalipo katika wilaya ya Songwe.
Makabidhiano hayo yalifanyika katika eneo la Ofisi za Mkuu wa Mkoa lililopo katika Vwawa, Mbozi tarehe 08 Septemba, 2016.
Watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi na Waandishi wa Habari wakiwa katika sherehe ya kukabidhian mabati.
No comments:
Post a Comment