Mtaalam wa elimu ya anga akiwafundisha watalii wa ndani namna ya kutumia darubini
Makundi yote yalishirki kuangalia kupatwa kwa Jua |
Mkuu wa Mkoa akiangalia hatua za kupatwa kwa Jua |
Add caption |
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Chiku Gallawa akihutubia wananchi siku ya kupatwa kwa Jua. alisisitiza umuhimu wa kufanya kazi kwa bidii ili kuipeleka Tanzania yenye Viwanda katika Nyanda za Juu kusini |
No comments:
Post a Comment