Thursday, 5 January 2017

HABARI KUTOKA WILAYA YA SONGWE
Imeandaliwa na Sia KisamoAfisa Kilimo kijiji cha tete kata ya Kanga akitoa maelezo na kuonyesha shamba lililolimwa kwa kutumia kilimo cha kisasa
Mwakilishi wa Mkuu wa wilaya  ya songwe Antony Mwambene ambaye pia ni Kaimu Afisa mifugo wilaya ya Songwe akigawa pembejeo za kilimo kwa wananchi wa Kata ya Kanga kijiji cha Tete