Thursday, 5 January 2017

HABARI KUTOKA WILAYA YA SONGWE




Imeandaliwa na Sia Kisamo







Afisa Kilimo kijiji cha tete kata ya Kanga akitoa maelezo na kuonyesha shamba lililolimwa kwa kutumia kilimo cha kisasa




Mwakilishi wa Mkuu wa wilaya  ya songwe Antony Mwambene ambaye pia ni Kaimu Afisa mifugo wilaya ya Songwe akigawa pembejeo za kilimo kwa wananchi wa Kata ya Kanga kijiji cha Tete

No comments:

Post a Comment