Monday 20 June 2016

Ziara ya Mkuu wa Mkoa

Ziara ya Mkuu wa Mkoa Mhe. Chiku Galawa Tunduma


Ziara ya Mkuu wa Mkoa Chiku Galawa katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma


Mkuu wa Mkoa Chiku Galawa akipokelewa na Wakuu wa Idara wa Halmashauri ya Mji wa Tunduma

Wakuu wa Idara na Waheshimiwa madiwani wakisikiliza Taarifa ya Halmashauri ya Mji. taarifa hiyo ilisomwa na Mkuu wa Wilaya ya Momba Richard Mbeho


 Washiriki wakisikiliza kwa makini Taarifa ya Halmashauri ya Halmashauri ya Mji wa Tunduma


 Mkuu wa Wilaya Mhe. Richard Mbeho akisoma taarifa ya Halmashauri ya Mji wa Tunduma kwa Mkuu wa Mkoa.

 Mkuu wa Mkoa akitembelea ukamilishaji wa madawati katika Shule ya Sekondari ya J.K. Nyerere

Sunday 19 June 2016

ZIARA YA MKUU WA MKOA


Ziara za Mkuu wa Mkoa  wa Songwe Luteni Mstaafu Chiku Galawa 


Mkuu wa Mkoa wa Songwe  Chiku Galawa akitembelea mgodi wa madini ya dhahabu Shanti uliopo  Wilayani Songwe.

 Mkuu wa Mkoa akitembelea maeneo mbalimbali ya mgodi wa dhahabu wa Shanti Songwe


Mgodi wa Makaa ya Mawe  vijiji vya Magamba vilivyopo mpakani mwa wilaya za  Mbozi na Songwe