Sunday 19 June 2016

ZIARA YA MKUU WA MKOA


Ziara za Mkuu wa Mkoa  wa Songwe Luteni Mstaafu Chiku Galawa 


Mkuu wa Mkoa wa Songwe  Chiku Galawa akitembelea mgodi wa madini ya dhahabu Shanti uliopo  Wilayani Songwe.

 Mkuu wa Mkoa akitembelea maeneo mbalimbali ya mgodi wa dhahabu wa Shanti Songwe


Mgodi wa Makaa ya Mawe  vijiji vya Magamba vilivyopo mpakani mwa wilaya za  Mbozi na Songwe




 Mkuu wa Mkoa Chiku Galawa akibadilishana mawazo na Mrakibu Msaidizi wa Polisi wa Songwe Abdallah Nyandula

No comments:

Post a Comment