BAADHI YA VIVUTIO VYA UTALII MKOANI SONGWE
Kimondo cha Mbozi
ENEO LA MACHIMBO YA MARUMARU KATIKA KIJIJI CHA NANYARA, MBOZI
HIFADHI YA MAJI KATIKA ENEO LA MACHIMBO YA DHAHABU LA KAMPUNI YA SHANTA, SONGWE
Bwawa la hifadhi ya maji linalotumika kuhifanyi viumbe ekolojia ya asili katika eneo la machimbo ya madini ya dhahabu la Shanta lililopo Mkwajuni Songwe. bwawa hilo limekuwa likiokoa uhai wa wanyama kama Swala na viboko hasa wakati wa kiangazi ambapo upatikanaji wa maji unakuwa mdogo.
Uvunaji wa Chumvi katika Bwawa la Itumbula, Ivuna wilaya ya Momba
Eneo la udongo uliobaki baada ya shughuli za uchimbaji dhahamu katika mgodi wa Anglo American uliokuwa ukifanya kazi miaka ya 1920 Mkwajuni, Songwe
Mabaki ya miundombinu ya mgodi wa Anglo American Mkwajuni
Eneo ambalo alizaliwa Rais mstaafu wa Afrika Kusini De Clerk ambapo Baba yake alikuwa akifanya kazi katika kampuni ya machimbo ya Dhahabu ya Anglo American
Mkuu wa Wilaya ya Momba Juma Irando (kushoto) akisikiliza historia ya machimbo ya Dhahabu wakati wa kipindi cha Ukoloni kutoka kwa Kilongozi mkazi wa Mkwajuni.
Bwawa la maji lililojengwa na Kampuni ya uchimbaji Dhahabu ya Shanta linalotumika kama akiba ya maji hasa wakati wa kiangazi.
Picha hiyo imepigwa kutoka kwenye mwinuko unaotumika kungalia eneo kubwa la mji wa Itumba, Ileje
Unyayo juu ya Mwamba unaosadikika kuwa ulikuwa wa mtu wa kale katika kijiji cha Nkangamo Wilaya ya Momba
No comments:
Post a Comment