Mkuu wa wa Wilaya akiongea na Wananchi wa Kata ya Ngwala kuhusu umuhimu wa Jeshi la Mgambo.
Kwata ya kufuzu mafunzo ya Mgambo katika Kata ya Ngwala
KIJIJI CHA NGWALA CHAPATA JESHI LA AKIBA
Na Sia Kisamo
Mkuu wa Wilaya ya Songwe alifunga mafunzo ya mgambo katika Kata ya Ngwala iliyopo katika wilaya ya Songwe.
akifunga mafunzo hayo Mkuu wa wilaya alimwagiza Mkurugenzi wa Wilaya kuwa Vijana hao wakumbukwe katika mkopo wa Vijana na Wanawake ili washiriki katika shughuli za maendeleo pia aliwaagiza wenyeviti wa Vijiji kulitumia jeshi hilo la akiba katika shughuli za Maendeleao, Ulinzi na usalama wa Wananchi na Mali zao.
No comments:
Post a Comment