Wednesday, 21 December 2016

MKUU WA WILAYA YA SONGWE SAMWEL JEREMIAH ATEMBELEA KIJIJI CHA NGWALA TAREHE 20 DISEMBA,2016





Mkuu wa wilaya ya Songwe akizungumza na wananchi katika eneo la mnada lililopo kata ya Ngwala kuhakiksha eneo hilo linafanyiwa usafi na ujenzi wa choo ufanyike ili kutunza mazingira

UKAGUZI WA ENEO LA UJENZI WA KITUO CHA POLISI NGWALA




Mkuu wa wilaya ya Songwe Samwel Jeremiah pamoja na kamati ya ulinzi na usalama wakikagua eneo ambalo limetengwa kwa ajili ya kujenga kituo cha polisi kata ya Ngwala


No comments:

Post a Comment