Timu ya Wataalam wa Halmashauri ya Mji wa Tunduma ikiwasilisha Mpango wa Jumla wa Mji wa Tunduma kwa kipindi cha 2015 - 2026 mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Songwe Chiku Gallawa na Wataalam wake kwenye ukumbi wa mkuu wa Mkoa Vwawa tarehe 26 Septemba, 2016.
![]() |
Mkuu wa Mkoa Chiku Gallawa na Wataalam wake wakisikiliza uwasilishaji wa mpango huo kutoka kwa Afisa Mipango Miji wa Tunduma Mutta D.P.B |
![]() |
Wataalam wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na Halmashauri ya Mji wa Tunduma wakisikiliza Maada hiyo. |