Wakuu wa Wilaya, John Palingo wa Mbozi, Joseph Mkude Ileje, Juma Irando wa Momba na Samwel Jeremiah wa Songwe wakijadiliana namna ya kufanya usafi.
Wananchi wakifanya usafi katika mitaa ya mji wa Mkwajuni
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe Elias Nawera akihutubia Wananchi kwenye mkutano wa Majumuisho baada ya kufanya usafi
Wananchi wakisikiliza kwa makini ujumbe wa mkutano wa huo ambao ulijikita katika kujenga tabia ya usafi kuwa tabia ya kila mwananchi wa Mkoa wa Songwe kuanzia Majumbani mpaka maeneo ya kufanyika shughuli mbalimbali. pia ilisisitizwa umhuhimu wa kutunza vyanzo vya maji na kupanda miti ili kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.
Wadau wa Shanta Mining Co. Ltd wakishiriki katika mkutano huo
Waheshimiwa Madiwani wa Wilaya ya Songwe wakiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri wa Wilaya baada ya kujitambulisha wakati wa Mkutano.
KAMPUNI YA UCHIMBAJI WA MADINI YA DHAHABU YA SHANTA IMETOA VIFAA VYA MICHEZO VYA MPIRA WA MIGUU KWA TIMU YA MKOA YA KIMONDO.
Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Joha Palingo akikabidhiwa vifaa vya michezo na Meneja wa Kampuni ya uchimbaji wa Madini ya Shanta Scott Yelland.
Aidha, Shata Mining Co. Ltd walitoa walitoa sare jozi Nne, Track suit nane kwa ajili ya walinda mlango, Mipira minne , Socks na Gloves.
|
No comments:
Post a Comment