ZIARA YA BALOZI WA TANZANIA NCHINI MALAWI VICTORIA MWAKASEGE ALIPOTEMBELEA WILAYA YA ILEJE
Balozi wa Tanzania nchini Malawi,Victoria Mwakasege, akizungumza na
baadhi ya viongozi wa Wilaya ya Ileje wakati wa ziara yake ya kukagua mpaka
kati ya Isongole Ileje- Tanzania naMbilima Chitipa- Malawi.
Mkuu wa Wilaya ya Chitipa,Grace Chirwa akizungumza na baadhi ya
watendaji wa Tanzania na Malawi wakati wa ziara ya kukagua mipaka.
Balozi wa Tanzania nchini Malawi,Victoria Mwakasege, akiwa na watendaji
wa wa nchi zote mbili katika mpaka wa Tanzania na Malawi.
Mkuu wa kituo cha polisi cha Itumba -Ileje mkoani Songwe(kulia)
Afande ASP Slivanus Mnubi akibadilishana mawasiliano na Mkuu wa Kituo cha
polisi cha Chitipa-Malawi(kushoto) SOP Gray Chimphepo ikiwa ni sehemu ya
kuthibiti uharifu mpakani.
No comments:
Post a Comment