KIKAO KAZI CHA KAMATI ZA MITIHINANI ZA HALMASHAURI ZA WILAYA MKOA WA SONGWE
Kikao cha kazi cha Kamati Za Mitihani Mkoa wa Songwe kuhusu Maandalizi, Mapokezi, Ugawaji na Usimamizi wa mitihani ya kidato cha nne kilichofanyika tarehe 25 Oktoba, 2016 kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, Songwe.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe Eliya M. Ntandu akitoa maelekezo kwa wanasemina. Katibu Tawala aliwasisitiza washiriki wa kikao umuhimu wa Uadilifu, Uaminifu, Ushirikiano katika zoezi zima la Mitihani.
No comments:
Post a Comment