Tuesday, 14 March 2017

MKUU WA WILAYA YA SONGWE ATOA ZAWADI KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI WALIOFANYA VIZURI


Mkuu wa Wilaya ya Songwe Samwel Jeremiah akitoa zawadi kwa wafafunzi waliofanya vizuri katika matokeo ya kidatu cha  Tatu kuingia cha  Nne.

Mkuu wa Wilaya katika picha ya pamoja na wanfunzi waliofanya vizuri katika matokeo ya kidato cha nne mwaka jana kuingia kidato cha tano,
wanafunzi hao waliahidiwa na mkuu wa Wialya kupatiwa shilingi elfu hamsini kila mmoja kama motisha na kuwafanya waendelee kufanya vizuri katika masomo yao

Mkuu Wilaya katika picha ya pamoja na wanafunzi waliofanya vizuri katika matokeo ya kidato cha tatu kungia kidato cha nne  wa shule ya sekondari Ifwenkenya


Mkuu wa wilaya katika picha ya pamoja na walimu wa shule ya sekondari Ifwenkenya

Mkuu wa wilaya katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi ya elimu kata ya IfwenkenyaNo comments:

Post a Comment