Thursday, 16 March 2017

MKUU WA WILAYA SAMWEL JEREMIAH APOKEA MABATI KUTOKA KAMPUNI YA SBSMk

Mkuu wa Wilaya Samwel Jeremiah akipokea mchango wa mabati kutoka kwa Meneja wa Kampuni ya SBS Eliona Sabaya katika eneo la ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Songwe. 

Na Sia Kisamo

 Samwel Jeremiah akipokea mchango huo wa mabati 250 alitoa shukrani kwa meneja huyo wa kampuni ya Camp of Small business Solution (SBS) iliyopo Mkwajuni Songwe kuwa mchango huo utachangia kukamilisha  ujenzi katika Sekta za Elimu, Afya pia Ulinzi na Usalama hususan kituo cha Polisi. Halitmaye aliwataka Wadau wengine waige moyo huo wa kutoa michango mbalimbali ili kuharakisha maendeleo ya Wilaya ya Songwe.No comments:

Post a Comment