Thursday, 16 March 2017
Tuesday, 14 March 2017
MKUU WA WILAYA YA SONGWE ATOA ZAWADI KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI WALIOFANYA VIZURI
Mkuu wa Wilaya ya Songwe Samwel Jeremiah akitoa zawadi kwa wafafunzi waliofanya vizuri katika matokeo ya kidatu cha Tatu kuingia cha Nne. |
Mkuu wa Wilaya katika picha ya pamoja na wanfunzi waliofanya vizuri katika matokeo ya kidato cha nne mwaka jana kuingia kidato cha tano,
wanafunzi hao waliahidiwa na mkuu wa Wialya kupatiwa shilingi elfu hamsini kila mmoja kama motisha na kuwafanya waendelee kufanya vizuri katika masomo yao
|
Mkuu Wilaya katika picha ya pamoja na wanafunzi waliofanya vizuri katika matokeo ya kidato cha tatu kungia kidato cha nne wa shule ya sekondari Ifwenkenya |
Mkuu wa wilaya katika picha ya pamoja na walimu wa shule ya sekondari Ifwenkenya |
Mkuu wa wilaya katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi ya elimu kata ya Ifwenkenya |
Friday, 10 March 2017
MKUU WA WILAYA YA SONGWE ARIDHISHWA NA UFAULU WA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA MAWENI
Mkuu wa Wilaya ya Songwe Samwel Jeremiah akiongea na Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Maweni
Mkuu wa Wilaya akiwa katika picha ya pamoja Walimu na Wanafunzi
Na Sia Kisamo: Afisa Utamaduni Songwe
Mkuu wa Wilaya ya Songwe Samwel Jeremiah akiwapongeza wanafunzi
wa Shule ya sekondari Maweni kidato cha sita kwa kufanya vizuri katika
mashindano ya Mock Mkoa wa Songwe ambapo shule hiyo ilishika nafasi ya nne
kimkoa kati ya shule 12 zilizoshiriki mashindano ya mitihani hiyo. Mkuu wa
Wilaya aliwatia moyo Waalimu na wanafunzi na kuwaambia Waalimu waongeze
juhudi katika ufundishaji na wanafunzi wajitahidi kusoma kwa bidii na
kuzingatia masomo.
Pia Mkuu wa Wilaya hiyo alisema wanafunzi waliofanya vizuri na
kushika nafasi ya kumi bora wanaandaliwa zawadi na kuwaahidi kuwa wanafunzi
watakaofanya vizuri zaidi katika mtihani wa Taifa watapata nafasi mbili za
kusoma USA na China.
MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KATIKA WILAYA YA SONGWE
MKUU WA MKOA WA SONGWE CHIKU GALLAWA AZINDUA UPANDAJI MITI WILAYANI SONGWE
Mkuu wa Mkoa wa Songwe azindua zoezi la upandaji miti Wilaya ya
Songwe tarehe 03/03/2017
Subscribe to:
Posts (Atom)