Mkuu wa
wilaya ya Ileje Joseph Mkude akiwa na baadhi ya machifu wa wilaya hiyo baada ya kufanya nao
kikao katika ukumbi wa ofisi ya mkuu wa wilaya Ileje. mh Joseph Mkude akiwa
na chifu wa kabila la Walambya lililopo wilayani humo.
Mkuu wa Wilaya akiwa na Chifu wa Kabila la Walambya
Chifu wa Walambya Sisimbe Shalala Mwampashi kutoka kijiji cha Mlale Wilayani Ileje
No comments:
Post a Comment