KIKAO CHA KAZI NA WATAALAM MKOA WA SONGWE TAREHE 26 AGOSTI,2016
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Chiku Gallawa akimkabidhi Ipad Afisa TEHEMA wa wilaya ya Momba Alfred Simpoli baada ya kikao cha kazi kilichohusu namna ya kuwakomboa vijana kiuchumi katika Mkoa wa Songwe.
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Chiku Gallawa akimkabidhi Ipad Afisa Utamaduni wa wilaya ya Songwe Sia baada ya kikao cha kazi.
No comments:
Post a Comment