Wednesday, 27 July 2016

 

MKUU WA MKOA CHIKU GALLAWA AKABIDHIWA MADAWATI NA BANKI YA AZANIA


Mkuu wa Mkoa wa Songwe Chiku Gallawa akikabidhiwa madawati 50 na Meneja wa Tawi la Benki ya Azania Tunduma,  Baraka Ubuguyu.

Meneja wa Benki ya Azania Tawi la Tunduma Baraka Ubuguyu akisoma taarifa ya huduma za Kibenki na Misaada ya Jamii kwa Mkuu wa Mkoa.


Sunday, 24 July 2016

 MAKABIDHIANO YA TAARIFA YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHUSU UCHAGUZI WA RAIS,  WABUNGE NA MADIWANI
 Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa Chiku Gallawa akikabidhiwa taarifa ya Tume ya taifa ya uchaguzi kuhusu uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani kutoka kwa Katibu Tawala Msaidizi wa Serikali  za Mitaa Costantino Mushi katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa  wa Songwe iliyopo Vwawa.


Monday, 20 June 2016

Ziara ya Mkuu wa Mkoa

Ziara ya Mkuu wa Mkoa Mhe. Chiku Galawa Tunduma


Ziara ya Mkuu wa Mkoa Chiku Galawa katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma


Mkuu wa Mkoa Chiku Galawa akipokelewa na Wakuu wa Idara wa Halmashauri ya Mji wa Tunduma

Wakuu wa Idara na Waheshimiwa madiwani wakisikiliza Taarifa ya Halmashauri ya Mji. taarifa hiyo ilisomwa na Mkuu wa Wilaya ya Momba Richard Mbeho


 Washiriki wakisikiliza kwa makini Taarifa ya Halmashauri ya Halmashauri ya Mji wa Tunduma


 Mkuu wa Wilaya Mhe. Richard Mbeho akisoma taarifa ya Halmashauri ya Mji wa Tunduma kwa Mkuu wa Mkoa.

 Mkuu wa Mkoa akitembelea ukamilishaji wa madawati katika Shule ya Sekondari ya J.K. Nyerere

Sunday, 19 June 2016

ZIARA YA MKUU WA MKOA


Ziara za Mkuu wa Mkoa  wa Songwe Luteni Mstaafu Chiku Galawa 


Mkuu wa Mkoa wa Songwe  Chiku Galawa akitembelea mgodi wa madini ya dhahabu Shanti uliopo  Wilayani Songwe.

 Mkuu wa Mkoa akitembelea maeneo mbalimbali ya mgodi wa dhahabu wa Shanti Songwe


Mgodi wa Makaa ya Mawe  vijiji vya Magamba vilivyopo mpakani mwa wilaya za  Mbozi na Songwe