MAKABIDHIANO YA TAARIFA YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHUSU UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa Chiku Gallawa akikabidhiwa taarifa ya Tume ya taifa ya uchaguzi kuhusu uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani kutoka kwa Katibu Tawala Msaidizi wa Serikali za Mitaa Costantino Mushi katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Songwe iliyopo Vwawa.
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa akitoa Taarifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa Vyombo vya Habari
No comments:
Post a Comment