MKUU WA MKOA CHIKU GALLAWA AKABIDHIWA MADAWATI NA BANKI YA AZANIA
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Chiku Gallawa akikabidhiwa madawati 50 na Meneja wa Tawi la Benki ya Azania Tunduma, Baraka Ubuguyu.
Meneja wa Benki ya Azania Tawi la Tunduma Baraka Ubuguyu akisoma taarifa ya huduma za Kibenki na Misaada ya Jamii kwa Mkuu wa Mkoa.
Sunday, 24 July 2016
MAKABIDHIANO YA TAARIFA YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHUSU UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa Chiku Gallawa akikabidhiwa taarifa ya Tume ya taifa ya uchaguzi kuhusu uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani kutoka kwa Katibu Tawala Msaidizi wa Serikali za Mitaa Costantino Mushi katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Songwe iliyopo Vwawa.